File: privacy_sandbox_strings_sw.xtb

package info (click to toggle)
chromium 139.0.7258.127-1
  • links: PTS, VCS
  • area: main
  • in suites:
  • size: 6,122,068 kB
  • sloc: cpp: 35,100,771; ansic: 7,163,530; javascript: 4,103,002; python: 1,436,920; asm: 946,517; xml: 746,709; pascal: 187,653; perl: 88,691; sh: 88,436; objc: 79,953; sql: 51,488; cs: 44,583; fortran: 24,137; makefile: 22,147; tcl: 15,277; php: 13,980; yacc: 8,984; ruby: 7,485; awk: 3,720; lisp: 3,096; lex: 1,327; ada: 727; jsp: 228; sed: 36
file content (114 lines) | stat: -rw-r--r-- 26,442 bytes parent folder | download | duplicates (5)
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31
32
33
34
35
36
37
38
39
40
41
42
43
44
45
46
47
48
49
50
51
52
53
54
55
56
57
58
59
60
61
62
63
64
65
66
67
68
69
70
71
72
73
74
75
76
77
78
79
80
81
82
83
84
85
86
87
88
89
90
91
92
93
94
95
96
97
98
99
100
101
102
103
104
105
106
107
108
109
110
111
112
113
114
<?xml version="1.0" ?>
<!DOCTYPE translationbundle>
<translationbundle lang="sw">
<translation id="1045545926731898784">Tovuti hii inamilikiwa na kikundi cha tovuti, kinachobainishwa na <ph name="SET_OWNER" />, ambacho kinaweza kutuma data ya shughuli zako kwenye kikundi ili kuzisaidia tovuti zifanye kazi ipasavyo.</translation>
<translation id="1055273091707420432">Chromium hufuta kiotomatiki mada za matangazo zilizohifadhiwa zaidi ya wiki 4</translation>
<translation id="1184166532603925201">Ukiwa katika Hali ya kutumia faraghani, Chrome huzuia tovuti zisitumie vidakuzi vya washirika wengine</translation>
<translation id="1297285729613779935">Matangazo yanayopendekezwa na tovuti husaidia kulinda historia ya kuvinjari na utambulisho wako huku yakiruhusu tovuti zikuonyeshe matangazo yanayokufaa. Kupitia shughuli zako, kama vile jinsi unavyotumia muda wako kwenye tovuti unazotembelea, tovuti zingine zinaweza kupendekeza matangazo yanayohusiana kadiri unavyoendelea kuvinjari. Unaweza kuona orodha ya tovuti hizi na kuzuia ambazo huzihitaji kwenye mipangilio.</translation>
<translation id="132963621759063786">Chromium hufuta data yoyote ya shughuli uliyotuma kwenye tovuti baada ya siku 30. Ukitembelea tovuti tena inaweza kuonekana upya kwenye orodha. Pata maelezo zaidi kuhusu <ph name="BEGIN_LINK1" />kudhibiti faragha yako ya matangazo kwenye Chromium<ph name="LINK_END1" />.</translation>
<translation id="1355088139103479645">Ungependa kufuta data yote?</translation>
<translation id="1472928714075596993"><ph name="BEGIN_BOLD" />Ni aina gani ya data hutumiwa?<ph name="END_BOLD" /> Mada za matangazo yako zinatokana na historia yako ya kuvinjari ya hivi majuzi, orodha ya tovuti ulizotembelea kwa kutumia Chrome kwenye kifaa hiki.</translation>
<translation id="1559726735555610004">Google inahitaji kampuni zibainishe kwa umma kuwa hazitatumia data hii kukufuatilia kwenye tovuti mbalimbali. Baadhi ya tovuti zinaweza kutumia shughuli zako kuweka mapendeleo kwenye hali yako ya utumiaji kando na kukuonyesha matangazo. Huenda pia zikazijumuisha na taarifa nyingine ambazo tayari zinafahamu kukuhusu. Kampuni zina wajibu wa kukufahamisha jinsi zinavyotumia data yako. Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi Google inavyolinda data yako kwenye <ph name="BEGIN_LINK" />Sera yetu ya Faragha<ph name="END_LINK" />.</translation>
<translation id="1569440020357229235">Ukiwa katika Hali ya kutumia faraghani, tovuti haziwezi kutumia vidakuzi vya washirika wengine. Ikiwa tovuti inayotegemea vidakuzi hivi haifanyi kazi, unaweza <ph name="BEGIN_LINK" />kujaribu kuipa tovuti hiyo idhini ya kufikia vidakuzi vya washirika wengine kwa muda mfupi<ph name="END_LINK" />.</translation>
<translation id="1716616582630291702"><ph name="BEGIN_BOLD" />Tovuti hutumiaje data hii?<ph name="END_BOLD" /> Chrome hurekodi mada zinazokuvutia kadiri unavyovinjari. Lebo za mada hubainishwa mapema na hujumuisha mambo kama vile, Sanaa na Burudani, Ununuzi na Spoti. Baadaye, tovuti unayoitembelea inaweza kuiomba Chrome ili ione mada zako kadhaa ili iweke mapendeleo kwenye matangazo unayoona.</translation>
<translation id="1732764153129912782">Unaweza kufanya mabadiliko kwenye mipangilio ya faragha ya matangazo</translation>
<translation id="1780659583673667574">Kwa mfano, ikiwa utatembelea tovuti ili upate mapishi ya chakula cha jioni, huenda tovuti ikaamua kwamba unavutiwa na mapishi. Baadaye, tovuti nyingine inaweza kukuonyesha tangazo linalohusiana la huduma ya kukuletea bidhaa za vyakula, iliyopendekezwa na tovuti ya kwanza.</translation>
<translation id="1818866261309406359">Dhibiti data ya tovuti zinazohusiana katika kichupo kipya</translation>
<translation id="1887631853265748225">Vipengele vya faragha ya matangazo husaidia kudhibiti kile ambacho tovuti na washirika wake wa utangazaji wanaweza kufahamu kukuhusu wanapokuonyesha matangazo yaliyowekewa mapendeleo.</translation>
<translation id="1954777269544683286">Google inahitaji kampuni zibainishe kwa umma kuwa hazitatumia data hii kukufuatilia kwenye tovuti mbalimbali. Kampuni zina wajibu wa kukufahamisha jinsi zinatumia data yako. <ph name="BEGIN_LINK" />Pata maelezo zaidi kwenye Sera yetu ya Faragha<ph name="END_LINK" />.</translation>
<translation id="2004697686368036666">Huenda vipengele kwenye baadhi ya tovuti visifanye kazi</translation>
<translation id="2089118378428549994">Utaondolewa kwenye akaunti katika tovuti hizi</translation>
<translation id="2089807121381188462"><ph name="BEGIN_BOLD" />Unawezaje kudhibiti data hii?<ph name="END_BOLD" /> Chrome hufuta kiotomatiki tovuti zilizohifadhiwa kwa zaidi ya siku 30. Tovuti unayoitembelea tena inaweza kuonekana upya kwenye orodha. Unaweza kuzuia tovuti isikupendekezee matangazo na kuzima matangazo yanayopendekezwa na tovuti wakati wowote kwenye mipangilio ya Chrome.</translation>
<translation id="2096716221239095980">Futa data yote</translation>
<translation id="2235344399760031203">Vidakuzi vya washirika wengine vimezuiwa</translation>
<translation id="235789365079050412">Sera ya Faragha ya Google</translation>
<translation id="235832722106476745">Chrome hufuta kiotomatiki mada za matangazo zilizohifadhiwa zaidi ya wiki 4</translation>
<translation id="2496115946829713659">Tovuti zinaweza kutumia vidakuzi vya washirika wengine kuweka mapendeleo kwenye matangazo na maudhui pamoja na kujifunza kuhusu vitendo unavyotekeleza kwenye tovuti nyingine</translation>
<translation id="2506926923133667307">Pata maelezo zaidi kuhusu kudhibiti faragha yako ya matangazo</translation>
<translation id="259163387153470272">Tovuti na washirika wake wa utangazaji wanaweza kutumia shughuli zako, kama vile jinsi unavyotumia muda wako kwenye tovuti unazotembelea, ili kukuwekea mapendeleo kwenye matangazo.</translation>
<translation id="2669351694216016687">Google inahitaji kampuni zibainishe kwa umma kuwa hazitatumia data hii kukufuatilia kwenye tovuti mbalimbali. Baadhi ya tovuti zinaweza kutumia shughuli zako kuweka mapendeleo kwenye hali yako ya utumiaji kando na kukuonyesha matangazo. Huenda pia zikazijumuisha na taarifa nyingine ambazo tayari zinafahamu kukuhusu. Kampuni zina wajibu wa kukufahamisha jinsi zinavyotumia data yako. <ph name="BEGIN_LINK1" />Pata maelezo zaidi kwenye Sera yetu ya Faragha<ph name="LINK_END1" /></translation>
<translation id="2842751064192268730">Mada za matangazo hudhibiti kile ambacho tovuti na washirika wao wa utangazaji wanaweza kufahamu kukuhusu ili kukuonyesha matangazo yaliyowekewa mapendeleo. Chrome inaweza kurekodi mada zinazokuvutia kulingana na historia yako ya kuvinjari ya hivi majuzi. Baadaye, tovuti unayoitembelea inaweza kuomba Chrome ili ione mada zinazokufaa na iwekee mapendeleo matangazo unayoona.</translation>
<translation id="2937236926373704734">Unaweza kuzuia tovuti ambazo huzitaki. Chromium pia hufuta kiotomatiki tovuti zilizohifadhiwa kwenye orodha kwa zaidi ya siku 30.</translation>
<translation id="2979365474350987274">Vidakuzi vya washirika wengine vimedhibitiwa</translation>
<translation id="3045333309254072201">Ukiwa katika Hali ya kutumia faraghani, tovuti haziwezi kutumia vidakuzi vya washirika wengine. Ikiwa tovuti inayotegemea vidakuzi hivi haifanyi kazi, unaweza <ph name="START_LINK" />kujaribu kuipa tovuti hiyo idhini ya kufikia vidakuzi vya washirika wengine kwa muda mfupi<ph name="END_LINK" />.</translation>
<translation id="3046081401397887494">Iwapo tangazo unaloona limewekewa mapendeleo, inaweza kutegemea mambo mengi, ikiwa ni pamoja na mipangilio hii, <ph name="BEGIN_LINK1" />matangazo yanayopendekezwa na tovuti<ph name="LINK_END1" />, <ph name="BEGIN_LINK2" />mipangilio yako ya vidakuzi<ph name="LINK_END2" /> na iwapo tovuti unayoangalia huweka mapendeleo kwenye matangazo.</translation>
<translation id="3187472288455401631">Upimaji wa matangazo</translation>
<translation id="3425311689852411591">Tovuti zinazotegemea vidakuzi vya washirika wengine zinapaswa kufanya kazi inavyotarajiwa</translation>
<translation id="3442071090395342573">Chromium hufuta data yoyote ya shughuli uliyotuma kwenye tovuti baada ya siku 30. Ukitembelea tovuti tena inaweza kuonekana upya kwenye orodha. Pata maelezo zaidi kuhusu <ph name="BEGIN_LINK" />kudhibiti faragha yako ya matangazo kwenye Chromium<ph name="END_LINK" />.</translation>
<translation id="3467081767799433066">Kwa kutumia upimaji wa matangazo, aina chache za data huruhusiwa kufikiwa baina ya tovuti ili kupima utendaji wa matangazo yazo, kama vile iwapo ulifanya ununuzi baada ya kutembelea tovuti.</translation>
<translation id="3624583033347146597">Chagua mapendeleo yako ya kidakuzi cha mshirika mwingine</translation>
<translation id="3645682729607284687">Chrome hurekodi mada zinazokuvutia kulingana na historia yako ya kuvinjari ya hivi majuzi. Kwa mfano mada kama vile, Michezo, Mavazi na mengineyo</translation>
<translation id="3696118321107706175">Jinsi tovuti zinavyotumia data yako</translation>
<translation id="3749724428455457489">Pata maelezo zaidi kuhusu matangazo yanayopendekezwa na tovuti</translation>
<translation id="3763433740586298940">Unaweza kuzuia tovuti ambazo huzitaki. Chrome pia hufuta kiotomatiki tovuti zilizohifadhiwa kwenye orodha kwa zaidi ya siku 30.</translation>
<translation id="385051799172605136">Rudi nyuma</translation>
<translation id="3873208162463987752">Tovuti zinazohusiana zinaweza kutuma pamoja vidakuzi vya washirika wengine ili kusaidia tovuti kufanya kazi inavyotarajiwa, kama vile kuhakikisha kuwa unasalia katika akaunti au kukumbuka mipangilio ya tovuti yako. Tovuti zina wajibu wa kueleza sababu za kutaka kufikia data hii. <ph name="BEGIN_LINK" />Pata maelezo zaidi<ph name="END_LINK" /></translation>
<translation id="390681677935721732">Chrome hufuta data yoyote ya shughuli uliyotuma kwenye tovuti baada ya siku 30. Ukitembelea tovuti tena inaweza kuonekana upya kwenye orodha. Pata maelezo zaidi kuhusu <ph name="BEGIN_LINK" />kudhibiti faragha yako ya matangazo kwenye Chrome<ph name="END_LINK" />.</translation>
<translation id="3918378745482005425">Huenda baadhi ya vipengele visifanye kazi. Tovuti zinazohusiana bado zinaweza kutumia vidakuzi vya washirika wengine.</translation>
<translation id="3918927280411834522">matangazo yanayopendekezwa na tovuti</translation>
<translation id="4009365983562022788">Google inahitaji kampuni zibainishe kwa umma kuwa hazitatumia data hii kukufuatilia kwenye tovuti mbalimbali. Baadhi ya tovuti zinaweza kutumia shughuli zako kuweka mapendeleo kwenye hali yako ya utumiaji kando na kukuonyesha matangazo. Huenda pia zikazijumuisha na taarifa nyingine ambazo tayari zinafahamu kukuhusu. Kampuni zina wajibu wa kukufahamisha jinsi zinavyotumia data yako. Pata maelezo zaidi kwenye <ph name="BEGIN_LINK1" />Sera yetu ya Faragha<ph name="LINK_END1" />.</translation>
<translation id="4053540477069125777">Tovuti zinazohusiana zilivyobainishwa na <ph name="RWS_OWNER" /></translation>
<translation id="417625634260506724">Jumla ya nafasi ya hifadhi iliyotumiwa na tovuti zilizo kwenye orodha: <ph name="TOTAL_USAGE" /></translation>
<translation id="4177501066905053472">Mada za matangazo</translation>
<translation id="4278390842282768270">Umeruhusu</translation>
<translation id="4301151630239508244">Mada za matangazo ni mojawapo tu ya vitu vingi ambavyo tovuti inaweza kutumia ili kuweka mapendeleo katika matangazo. Hata bila mada za matangazo, bado tovuti zinaweza kukuonyesha matangazo lakini huenda yasikufae zaidi. Pata maelezo zaidi kuhusu <ph name="BEGIN_LINK_1" />kudhibiti faragha yako katika matangazo<ph name="END_LINK_1" />.</translation>
<translation id="4370439921477851706">Google inahitaji kampuni zibainishe hadharani kuwa hazitatumia data hii kukufuatilia kwenye tovuti mbalimbali. Huenda baadhi ya tovuti zikatumia shughuli zako kuwekea mapendeleo hali yako ya utumiaji kando na kukuonyesha matangazo. Huenda pia zikahifadhi mada za matangazo kwa muda wa zaidi ya wiki 4 na zikazijumuisha na maelezo mengine ambayo tayari zinajua kukuhusu. Kampuni zina wajibu wa kukufahamisha jinsi zinatumia data yako. Pata maelezo zaidi kwenye <ph name="BEGIN_LINK1" />Sera yetu ya Faragha<ph name="LINK_END1" />.</translation>
<translation id="4412992751769744546">Ruhusu vidakuzi vya washirika wengine</translation>
<translation id="4456330419644848501">Iwapo tangazo unaloona limewekewa mapendeleo, inaweza kutegemea mambo mengi, ikiwa ni pamoja na mipangilio hii, <ph name="BEGIN_LINK_1" />matangazo yanayopendekezwa na tovuti<ph name="END_LINK_1" />, <ph name="BEGIN_LINK_2" />mipangilio yako ya vidakuzi<ph name="END_LINK_2" /> na iwapo tovuti unayoangalia huweka mapendeleo kwenye matangazo.</translation>
<translation id="4497735604533667838">Tovuti zinazohusiana zinaweza kutuma pamoja vidakuzi vya washirika wengine ili kusaidia tovuti kufanya kazi inavyotarajiwa, kama vile kuhakikisha kuwa unasalia katika akaunti au kukumbuka mipangilio ya tovuti yako. Tovuti zina wajibu wa kueleza sababu za kutaka kufikia data hii. Pata maelezo zaidi kuhusu <ph name="START_LINK" />tovuti zinazohusiana na vidakuzi vya washirika wengine<ph name="END_LINK" /></translation>
<translation id="4501357987281382712">Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi Google inavyolinda data yako kwenye <ph name="BEGIN_LINK" />Sera yetu ya Faragha<ph name="END_LINK" />.</translation>
<translation id="4502954140581098658">Iwapo tangazo unaloona limewekewa mapendeleo, inaweza kutegemea mambo mengi ikiwa ni pamoja na mipangilio hii, <ph name="BEGIN_LINK_1" />mada za matangazo<ph name="END_LINK_1" />, <ph name="BEGIN_LINK_2" />mipangilio yako ya vidakuzi<ph name="END_LINK_2" /> na iwapo tovuti unayoangalia huweka mapendeleo kwenye matangazo.</translation>
<translation id="453692855554576066">Unaweza kuona mada zako za matangazo katika mipangilio ya Chromium na uzuie zile ambazo hungependa tovuti zifikie</translation>
<translation id="4616029578858572059">Chromium hurekodi mada zinazokuvutia kulingana na historia yako ya kuvinjari ya hivi majuzi. Kwa mfano mada kama vile, Michezo, Mavazi na mengineyo</translation>
<translation id="4687718960473379118">Matangazo yanayopendekezwa na tovuti</translation>
<translation id="4692439979815346597">Unaweza kuona mada zako za matangazo katika mipangilio ya Chrome na uzuie zile ambazo hungependa tovuti zifikie</translation>
<translation id="4711259472133554310">Unaweza kuanzisha hali zisizofuata kanuni katika Mipangilio ili kuruhusu kila wakati tovuti mahususi zitumie vidakuzi vya washirika wengine</translation>
<translation id="4894490899128180322">Iwapo tovuti haifanyi kazi inavyotarajiwa, unaweza kujaribu kuruhusu vidakuzi vya washirika wengine kwa muda mfupi katika tovuti mahususi unayotembelea</translation>
<translation id="4995684599009077956">Google inahitaji kampuni zibainishe hadharani kuwa hazitatumia data hii kukufuatilia kwenye tovuti mbalimbali. Huenda baadhi ya tovuti zikatumia shughuli zako kuwekea mapendeleo hali yako ya utumiaji kando na kukuonyesha matangazo. Huenda pia zikahifadhi mada za matangazo kwa muda wa zaidi ya wiki 4 na zikazijumuisha na maelezo mengine ambayo tayari zinajua kukuhusu. Kampuni zina wajibu wa kukufahamisha jinsi zinatumia data yako. <ph name="BEGIN_LINK" />Pata maelezo zaidi kwenye Sera yetu ya Faragha<ph name="END_LINK" />.</translation>
<translation id="4998299775934183130">Ina tovuti zinazohusiana</translation>
<translation id="5055880590417889642">Shughuli zako ni mojawapo ya mambo mengi ambayo tovuti inaweza kutumia kupendekeza matangazo. Ukizima kipengele cha matangazo yanayopendekezwa na tovuti, tovuti bado zinaweza kukuonyesha matangazo lakini huenda yasikufae zaidi. Pata maelezo zaidi kuhusu</translation>
<translation id="5117284457376555514">Tovuti haziwezi kutumia vidakuzi vya washirika wengine kuweka mapendeleo kwenye matangazo na maudhui pamoja na kujifunza kuhusu vitendo unavyotekeleza kwenye tovuti nyingine, isipokuwa uruhusu vifikiwe na tovuti zinazohusiana. Huenda baadhi ya vipengele visifanye kazi inavyotarajiwa.</translation>
<translation id="5165490319523240316">Tovuti na washirika wake wa utangazaji wanaweza kutumia shughuli zako, kama vile jinsi unavyotumia muda wako kwenye tovuti unazotembelea, ili kuweka mapendeleo kwenye matangazo katika tovuti zingine. Kwa mfano, ikiwa utatembelea tovuti ili upate mapishi ya chakula cha jioni, huenda tovuti ikaamua kwamba unavutiwa na mapishi. Baadaye, tovuti nyingine inaweza kukuonyesha tangazo linalohusiana la huduma ya kukuletea bidhaa za vyakula, iliyopendekezwa na tovuti ya kwanza.</translation>
<translation id="544199055391706031">Shughuli zako ni mojawapo ya mambo mengi ambayo tovuti inaweza kutumia kupendekeza matangazo. Ukizima kipengele cha matangazo yanayopendekezwa na tovuti, tovuti bado zinaweza kukuonyesha matangazo lakini huenda yasikufae zaidi. Pata maelezo zaidi kuhusu <ph name="BEGIN_LINK" />matangazo yanayopendekezwa na tovuti<ph name="END_LINK" />.</translation>
<translation id="5495405805627942351">Dhibiti data ya tovuti zinazohusiana</translation>
<translation id="5574580428711706114">Google inahitaji kampuni zibainishe kwa umma kuwa hazitatumia data hii kukufuatilia kwenye tovuti mbalimbali. Kampuni zina wajibu wa kukufahamisha jinsi zinatumia data yako. <ph name="BEGIN_LINK1" />Pata maelezo zaidi kwenye Sera yetu ya Faragha<ph name="LINK_END1" />.</translation>
<translation id="5677928146339483299">Umezuia</translation>
<translation id="5759648952769618186">Mada hutokana na historia yako ya kuvinjari ya hivi majuzi na husaidia kudhibiti kile ambacho tovuti na washirika wao wa utangazaji wanaweza kufahamu kukuhusu ili kukuonyesha matangazo yaliyowekewa mapendeleo</translation>
<translation id="5812448946879247580"><ph name="BEGIN_BOLD" />Tovuti hutumiaje data hii?<ph name="END_BOLD" /> Tovuti unazotembelea zinaweza kuiomba Chrome taarifa zinazozisaidia kupima utendaji wa matangazo yazo. Chrome hulinda faragha yako kwa kudhibiti taarifa ambazo tovuti zinaweza kutumiana.</translation>
<translation id="6053735090575989697">Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi Google inavyolinda data yako kwenye Sera yetu ya Faragha.</translation>
<translation id="6195163219142236913">Vidakuzi vya washirika wengine vimedhibitiwa</translation>
<translation id="6196640612572343990">Zuia vidakuzi vya washirika wengine</translation>
<translation id="6282129116202535093">Matangazo yanayopendekezwa na tovuti husaidia kulinda historia ya kuvinjari na utambulisho wako huku yakiruhusu tovuti zikuonyeshe matangazo yanayokufaa. Kupitia shughuli zako, tovuti zingine zinaweza kupendekeza matangazo yanayohusiana kadiri unavyoendelea kuvinjari. Unaweza kuona orodha ya tovuti hizi na kuzuia ambazo huzihitaji kwenye mipangilio.</translation>
<translation id="6308169245546905162">Tovuti zinaweza kutumia vidakuzi vya washirika wengine kujifunza kuhusu vitendo unavyotekeleza kwenye tovuti nyingine</translation>
<translation id="6398358690696005758">Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi Google inavyolinda data yako kwenye <ph name="BEGIN_LINK1" />Sera yetu ya Faragha<ph name="LINK_END1" />.</translation>
<translation id="6702015235374976491">Mada za matangazo husaidia tovuti kukuonyesha matangazo yanayokufaa huku zikilinda historia yako ya kuvinjari na utambulisho wako. Chrome inaweza kurekodi mada zinazokuvutia kulingana na historia yako ya kuvinjari ya hivi karibuni. Baadaye, tovuti unayoitembelea inaweza kuomba Chrome ili ione mada zinazokufaa na iweke mapendeleo kwenye matangazo unayoona.</translation>
<translation id="6710025070089118043">Tovuti haziwezi kutumia vidakuzi vya washirika wengine kuweka mapendeleo kwenye matangazo na maudhui pamoja na kujifunza kuhusu vitendo unavyotekeleza kwenye tovuti nyingine, isipokuwa uruhusu vifikiwe na tovuti zinazohusiana</translation>
<translation id="6774168155917940386">Google inahitaji kampuni zibainishe kwa umma kuwa hazitatumia data hii kukufuatilia kwenye tovuti mbalimbali. Baadhi ya tovuti zinaweza kutumia shughuli zako kuweka mapendeleo kwenye hali yako ya utumiaji kando na kukuonyesha matangazo. Huenda pia zikazijumuisha na taarifa nyingine ambazo tayari zinafahamu kukuhusu. Kampuni zina wajibu wa kukufahamisha jinsi zinavyotumia data yako. Pata maelezo zaidi kwenye <ph name="BEGIN_LINK" />Sera yetu ya Faragha<ph name="END_LINK" />.</translation>
<translation id="6789193059040353742">Iwapo tangazo unaloona limewekewa mapendeleo, inaweza kutegemea mambo mengi ikiwa ni pamoja na mipangilio hii, <ph name="BEGIN_LINK1" />mada za matangazo<ph name="LINK_END1" />, <ph name="BEGIN_LINK2" />mipangilio yako ya vidakuzi<ph name="LINK_END2" /> na iwapo tovuti unayoangalia huweka mapendeleo kwenye matangazo.</translation>
<translation id="7011445931908871535">Ungependa kufuta data?</translation>
<translation id="7084100010522077571">Maelezo zaidi kuhusu upimaji wa matangazo</translation>
<translation id="7315780377187123731">Maelezo zaidi kuhusu chaguo la Zuia vidakuzi vya washirika wengine</translation>
<translation id="737025278945207416">Huenda baadhi ya tovuti zikatumia shughuli zako kuwekea mapendeleo hali yako ya utumiaji kando na kukuonyesha matangazo. Huenda pia zikahifadhi mada za matangazo kwa muda wa zaidi ya wiki 4 na zikazijumuisha na maelezo mengine ambayo tayari wanayajua kukuhusu</translation>
<translation id="7374493521304367420">Bado tovuti zinaweza kutumia vidakuzi kuona shughuli za kuvinjari kwenye tovuti zao</translation>
<translation id="7419391859099619574">Google inahitaji kampuni zibainishe hadharani kuwa hazitatumia data hii kukufuatilia kwenye tovuti mbalimbali. Huenda baadhi ya tovuti zikatumia shughuli zako kuwekea mapendeleo hali yako ya utumiaji kando na kukuonyesha matangazo. Huenda pia zikahifadhi mada za matangazo kwa muda wa zaidi ya wiki 4 na zikazijumuisha na maelezo mengine ambayo tayari zinajua kukuhusu. Kampuni zina wajibu wa kukufahamisha jinsi zinatumia data yako. <ph name="BEGIN_LINK1" />Pata maelezo zaidi kwenye Sera yetu ya Faragha<ph name="LINK_END1" /></translation>
<translation id="7442413018273927857">Chrome hufuta data yoyote ya shughuli uliyotuma kwenye tovuti baada ya siku 30. Ukitembelea tovuti tena inaweza kuonekana upya kwenye orodha. Pata maelezo zaidi kuhusu <ph name="BEGIN_LINK1" />kudhibiti faragha yako ya matangazo kwenye Chrome<ph name="LINK_END1" />.</translation>
<translation id="7453144832830554937">Huenda vipengele vya tovuti vinavyotegemea vidakuzi vya washirika wengine visifanye kazi</translation>
<translation id="7475768947023614021">Kukagua mipangilio ya mada zako za matangazo</translation>
<translation id="7538480403395139206">Maelezo zaidi kuhusu chaguo la Ruhusu vidakuzi vya washirika wengine</translation>
<translation id="7646143920832411335">Onyesha tovuti zinazohusiana</translation>
<translation id="7686086654630106285">Maelezo zaidi kuhusu matangazo yanayopendekezwa na tovuti</translation>
<translation id="8200078544056087897">Vipengele vya tovuti vinavyotegemea vidakuzi vya washirika wengine vinapaswa kufanya kazi inavyotarajiwa</translation>
<translation id="8365690958942020052">Tovuti unayotembelea inaweza kuomba taarifa hizi — mada za matangazo au matangazo yanayopendekezwa na tovuti ulizotembelea.</translation>
<translation id="839994149685752920">Tovuti zinaweza kutumia vidakuzi vya washirika wengine kuweka mapendeleo kwenye matangazo na maudhui</translation>
<translation id="8477178913400731244">Futa data</translation>
<translation id="859369389161884405">Fungua Sera ya Faragha kwenye kichupo kipya</translation>
<translation id="877699835489047794"><ph name="BEGIN_BOLD" />Unawezaje kudhibiti data hii?<ph name="END_BOLD" /> Chrome hufuta kiotomatiki mada zilizohifadhiwa zaidi ya wiki 4. Kadiri unavyoendelea kuvinjari, mada inaweza kuonekana upya kwenye orodha. Unaweza pia kuzuia mada ambazo hungependa Chrome itume kwa tovuti husika na kuzima mada za matangazo wakati wowote kwenye mipangilio ya Chrome.</translation>
<translation id="8908886019881851657"><ph name="BEGIN_BOLD" />Tovuti hutumiaje data hii?<ph name="END_BOLD" /> Tovuti na washirika wake wa utangazaji wanaweza kutumia shughuli zako kuweka mapendeleo kwenye matangazo katika tovuti zingine. Kwa mfano, ikiwa utatembelea tovuti ili upate mapishi ya chakula cha jioni, huenda tovuti ikaamua kwamba unavutiwa na mapishi. Baadaye, tovuti nyingine inaweza kukuonyesha tangazo linalohusiana la huduma ya kukuletea bidhaa za vyakula, iliyopendekezwa na tovuti ya kwanza.</translation>
<translation id="8944485226638699751">Umedhibiti</translation>
<translation id="8984005569201994395">Google inahitaji kampuni zibainishe kwa umma kuwa hazitatumia data hii kukufuatilia kwenye tovuti mbalimbali. Baadhi ya tovuti zinaweza kutumia shughuli zako kuweka mapendeleo kwenye hali yako ya utumiaji kando na kukuonyesha matangazo. Huenda pia zikazijumuisha na taarifa nyingine ambazo tayari zinafahamu kukuhusu. Kampuni zina wajibu wa kukufahamisha jinsi zinavyotumia data yako. <ph name="BEGIN_LINK" />Pata maelezo zaidi kwenye Sera yetu ya Faragha<ph name="END_LINK" /></translation>
<translation id="9039924186462989565">Chromium huzuia tovuti zisitumie vidakuzi vya washirika wengine unapoitumia faraghani</translation>
<translation id="9043239285457057403">Hatua hii itafuta data na vidakuzi vyote vilivyohifadhiwa na <ph name="SITE_NAME" /> na tovuti zinazohusiana</translation>
<translation id="9162335340010958530">Tovuti haziwezi kutumia vidakuzi vya washirika wengine kuweka mapendeleo kwenye matangazo na maudhui pamoja na kujifunza kuhusu vitendo unavyotekeleza kwenye tovuti nyingine, isipokuwa uruhusu vifikiwe na tovuti zinazohusiana</translation>
<translation id="9168357768716791362">Google inahitaji kampuni zibainishe hadharani kuwa hazitatumia data hii kukufuatilia kwenye tovuti mbalimbali. Huenda baadhi ya tovuti zikatumia shughuli zako kuwekea mapendeleo hali yako ya utumiaji kando na kukuonyesha matangazo. Huenda pia zikahifadhi mada za matangazo kwa muda wa zaidi ya wiki 4 na zikazijumuisha na maelezo mengine ambayo tayari zinajua kukuhusu. Kampuni zina wajibu wa kukufahamisha jinsi zinatumia data yako. Pata maelezo zaidi kwenye <ph name="BEGIN_LINK" />Sera yetu ya Faragha<ph name="END_LINK" />.</translation>
<translation id="989939163029143304">Tovuti na washirika wake wa utangazaji wanaweza kutumia mada za matangazo kukuwekea mapendeleo kwenye maudhui. Mada za matangazo husaidia kudhibiti maelezo ambayo tovuti zinaweza kupata kukuhusu unapovinjari, ukizilinganisha na vidakuzi vya washirika wengine</translation>
</translationbundle>